Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Write your reply...
ben leo karudisha asthma ya lincoln! haha
ben leo kanikosha sana hakuna anaemchukia tena wakina sibiya wamemalizana na msamaha wameomba!
ila walinichekesha sana walivokua wanachek press ya ben kwenye tv yao chogo
 
Write your reply...
ben leo karudisha asthma ya lincoln! haha
ben leo kanikosha sana hakuna anaemchukia tena wakina sibiya wamemalizana na msamaha wameomba!
ila walinichekesha sana walivokua wanachek press ya ben kwenye tv yao chogo
Alimsukuma Benjamin kwenye kona jamaa na yeye akaamua kumpiga panapo uma 😂😂😂
 
Bado wapo sema wanachungulia mara moja moja!!
Leo baada ya kutoka nyumba ya ibada. Nikasema ni chill maskani. Nicheki marudio ya Isidingo. Nikaishia kuona machenga chenga tu utafikiri waliambiwa tunahitaji chenga za kupikia vitumbua.

ITV sijui wakoje siku hizi mambo yao utafikiri watu wa ĆĆM
 
Leo wamerudia tenaaaaa😤😤
Ntando is now a CEO..
Naona sasa bifu litakuwa sechaba&Nina vs Lincoln 🔥 🔥
 
Kwa Isidingo ya Sasa hapo washiriki kama 10 wameshatoka na waliobaki at least 5. Mambo ni mengi sana ila mda ni mchache.
 
Kwa kweli isidingo bila watu hawa hainogi. They better bring them back; Priya, Prada, Zak etc hata wawarudishe kama ghosts (wale waliokufa kama Frank Xavier na Katlegho na Jefferson Sibeko. Sasa hivi hizi episodes wanazoonesha South zina bore mbaya.. Wageni kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…