[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji851][emoji851][emoji851]wee jamaa mke wako anapata shida daaaah!Unataka kuniambia kuwa hajioni kama anajiharibu mpaka mimi nimwambie? Ndani kuna vioo kila sehemu, chumbani, vyooni, bado tu mpaka mimi nimwelekeze what to do? Wanawake walivyo wa hajabu, mimi kama mumewe ninaweza kumuambia what to do ili asijiharibu shepu, yeye ataanza kufikiri labda nina nyumba ndogo au kuna mwanamke mtaani namtamani alingane naye, ndiyo maana unakuta sie wanaume hatuwaambii chochote wake zetu kuepuka malumbano ya kijinga. Unamwacha ajiharibu zaidi ili upate kisingizio ama kigezo cha kutafuta nyumba ndogo. Endeleeni kujiharibu tu na kutukata stimu ya kutowapenda.
Mmmh yako Kali aseeKatika vitu ambavyo siwezi kuishi kwa kukosa Amani nmekubari matokeo siku nyingi ndoa imenishinda nmemuachia nyumba na mtt moja mwingine naishi nae mwenyewe bahati yngu nafanya kazi njee ya nchi nikija likizo kwa miaka 2 mara moja nafikia hotel mwenzi wngu moja nasepa kosea vyote ila ukikosea kuoa au kuolewa ni balaa kuliko kitu chchote duniani usije kbs kutoa lawama ukisikia mtu amejitoa Uhai ndoa zina mengi jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda hivyo hamtafika, ndoa ni maelewano na kuishi kwa amani na upendo. Pia kumbuka mumeoana. Lazima kila kitu kuwe na kiasi sio kufanya ili kumkomoa mwenzako. Ana haki ya kukuuliza ulikuwa wapi na pale unapochelewa kurudi nyumbani maana ni mkeo, nyie ni mwili mmoja mumekubali kuishi kama mke na mume hivyo kuna vitu lazima mukubaliane maana kila mtu ana mapungufu yake. Pia hamna sehemu niliyosema mume arudi saa 1 ila nimejitolea mfano mimi na mume wangu huwa tumepangiana kwamba awe anarudi saa 4.Mimi suala la ruhusa ya kutoka hilo halipo na halitakuwepo...sijakuoa uje kuwa mlinzi wangu na kunipangia vitu vya kufanya na kutokufanya ati nirudi home saa 1
Haaahaaa.....wamekutinganya bestMpwa ongea tu, tunajifunza japo hii nyongo iliyomwagwa kwenye uzi huu ni balaa la 2019.
Pole mkuu, hizi ndoa sijui zina nin siku hizi, hapa Nina mwaka mmoja ndoani , lakini I wish nisingeoa, naona kama niliwahi sana kuoa, yaani I am cornerd, napenda kuwa ndoani, lakini sio na mwanamke huyo!Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144][emoji87][emoji87][emoji87]Pole mkuu, hizi ndoa sijui zina nin siku hizi, hapa Nina mwaka mmoja ndoani , lakini I wish nisingeoa, naona kama niliwahi sana kuoa, yaani I am cornerd, napenda kuwa ndoani, lakini sio na mwanamke huyo!
Best si umesoma mambo magumu asee? Mbona maisha yanakuwa magumu hivi, yaani umeamua kuishi na mtu halafu mnakuwa mabondia, mabubu na wanafiki tu ndani..dadeq asee
Hekima, nafualia kwa karibu comments zako mkuu, zinajenga aisee! Ubarikiwe!Kuna ukilema, magonjwa kuna kukimbiwa yote haya yanamtokea/ tumeumbiwa binadamu mimi na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uvumiilivu nao haudumu mileleHakuna kitu kinadumu milele, yanaweza Leo yakawa makubwa lakini baadaye mambo yanakuwa shwari in suala la muda tu na uvumilivu kuchukua mkondo wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sanaHahahahaaaa! Kuoa bila mipango au kulenga ishu moja tuu matokeo yake ndiyo hayo!!
Kabla ya kuoa ulipaswa kujua au kujifunza utaishi vipi na mkeo na hata baadae wanao! Yanayobaki muachie Mungu
Mie nina zaidi ya miaka 10 kwenye ndoa, mwanzoni nilipata ugumu flani coz kuna mmoja wetu kabadili dini so kufundishana na kuwekana sawa ilikuwa shida kidogo! Pia nilikiwa mnywaji, kurudi usiku hakuna muda na familia napo vilichangia kuweka gap kwenye ndoa yangu na wakati huo kipato kilikuwa chini, so tukawa na matamanio yasiyotimia matokeo yake ni stress na kugombana!
Kabla ya kuoa nilipanga kuwa na familia yenye furaha, outings na vacations na safari ni vitu napenda sana kiukweli!! Nilihitaji mtu wa kufanana nae!
Nilipoanza kazi na NGO moja hivii inadeal na maswala ya ndoa! Nilikuja kugundua visababishi vya vikubwa vya migogoro ya ndoa ni nini! Kimoja wapo ni kitendo cha kila siku kurudi nyumbani usiku wa manane, umelewa wanawake wanaumia sana ila basi tu! Yakimzidi ndipo nae hutafuta faraja kwa namna ingine au hubadilika tabia na ndipo hapo, migogoro inaanzia!
Niliamua kubadilika, pombe nikaacha na familia yangu ikawa ndiye rafiki zangu wakubwa!!
Naishi kwa amani na nafurahia maisha ya ndoa to maximum!! Sijutii kwa hakika na naamini hata mke wangu vile vile!!
Tunatoka outing wote, tunasafiri tunavyopenda tunafanya yanayotupasa yaan ni full furaha! Namshukuru Mungu kwa kweli.
Ndoa ya furaha inawezekana ila kwa jitihada za pande zote mbili!! Ukiona unaleta furaha ila upende mwingine hauhitaji uwe hivyo hilo ni tatizo na hapo inabidi kuchukia hatua!
Kikubwa tumia muda mwingi kuchunguza utayetaka kuoa au kuolewa nae. Kama ana tabia usiyoipenda jikatae mapemaaaa! Usitarajie atabadilika akishaingia kwenye ndoa, na hili ndiyo kosa la wengi!!
EliiiHatimaye nimesoma posts zote...wtf??
Ukisoma hivi kila siku lazima nyongo ijae mwilini, sitaki kusoma vitu hasi namna hii, havijengi ni kubomoa tu mwanzo mwisho, japo kuna funzo pia tunapata.
Tufanyie kazi mahusiano yetu, huwa naamini hakuna maisha marahisi, uwe single, umeoa/kuolewa, uwe mtawa, divorcee, ishi na dada/kaka zako. Maisha ni fumbo, haturidhiki sisi wanadamu.
Naishi jinsi nilivyochagua, najaribu kufanya compromise ili hata nisiyopenda niendane na mwenzangu. Life's too short to yell all the time!!
Thanx Mshana Jr, bango zuri...
Niambie my one n' only!Eliii
Usije tema nyongo my one n only!Niambie my one n' only!
Hahahaha, maisha ya namna hii sio kabisa!!!Usije tema nyongo my one n only!
Yetu yaishie chumbani
Umeonaeeee....Hahahaha, maisha ya namna hii sio kabisa!!!
Kwa hiyo unatushauri Nini sisi mabachela sugu?Nipo ndani ya ndoa kwa miaka 16 sasa. 80% ya maisha ndani ya ndoa sijawahi kuwa na furaha.
Nilichogundua. Kuoa ni kuamua kumiliki mtu. Tena mwenye akili zake. Ni shida kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri sina. Ila ukifikia muda wa kuoa lazima utaoa. Jitahidi sana uoe mwanamke wa kabila lako, kidogo mnaweza kwenda sawa. Lakini haya makabila mengine ya ajabu ajabu sikushauri uoe.