Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
unadhan nimeanza kuwaambi muda bas yalinifikia hapa..mwaka 2017 ndo nikaanza waambia...wakawa hawaamini kbs..mwaka huo huo wakamwita akakiri atabadilika..hajabadilika..ukiwapelekea kesi kwao hakuna ht kumwita..wapo tu..sijakosea shunie...maisha yangu ww ht ww usingeweza kuishi na huyu..ht mamangu mzaz asingeweza kbs..ni mtu ambay hajali kbs...yaan walaaa...anajua huyu amejitosheleza..yaam sijui nikuambiaje..yaan yule ht utokee msiba hajigusi kuchanga..yupo tu yaan mshahara wake haurlewk unaenda wap...ht niugue vip walaa...anakuangalia tu😂😂...yaan mm nisipochakarika ndo nyumba inakosa dirwction...yaan ni yule wa kuamka na kuoga na kuondoka..ada tunashea..i meana na mm alisema nisomeshe m1😂😂mshahara wake yy naingia mm mara 6..hajui manengelo ni wife ana mahtj yake...hajigusi kwa lolote lile..yaan zezeta hafiki kwake..yy ni pombr tu..hana ht mawazo ya kutagta kabiashara mwenzako...Halafu na wewe unakosea sio kila ukigombana na mme wako unawaambia ndugu zako jamani unakosea sana mwisho wa siku wanamchukia tu kama hivyo
Hapani we njoo uchukue zawadi yakoMambo ya surprise ya watoto ebu niambue kuna nn najua nakuja nafata kitu flani
Mhunadhan nimeanza kuwaambi muda bas yalinifikia hapa..mwaka 2017 ndo nikaanza waambia...wakawa hawaamini kbs..mwaka huo huo wakamwita akakiri atabadilika..hajabadilika..ukiwapelekea kesi kwao hakuna ht kumwita..wapo tu..sijakosea shunie...maisha yangu ww ht ww usingeweza kuishi na huyu..ht mamangu mzaz asingeweza kbs..ni mtu ambay hajali kbs...yaan walaaa...anajua huyu amejitosheleza..yaam sijui nikuambiaje..yaan yule ht utokee msiba hajigusi kuchanga..yupo tu yaan mshahara wake haurlewk unaenda wap...ht niugue vip walaa...anakuangalia tu[emoji23][emoji23]...yaan mm nisipochakarika ndo nyumba inakosa dirwction...yaan ni yule wa kuamka na kuoga na kuondoka..ada tunashea..i meana na mm alisema nisomeshe m1[emoji23][emoji23]mshahara wake yy naingia mm mara 6..hajui manengelo ni wife ana mahtj yake...hajigusi kwa lolote lile..yaan zezeta hafiki kwake..yy ni pombr tu..hana ht mawazo ya kutagta kabiashara mwenzako...
mm nikifungua kabiashara atakupa bigup kibao..akianza kuona kanasimama anaanza choko choko...akutafute tu akakufungie..juzi kaulizwa eti mkeo anachosrma hujawah mpa ht laki 1 ni kweli?akasema huo ni udhaifu wangu..nitajitekebisha..yaan ni yy na wanae tu...ss iba simu yake uone mpesa kqa mamake huko ..mara laki 5..tena anakiambia kns mama amenionbq laki 5 dah..sina..anakiambia nitagtie mkopo..yaan yuko radhi ampe mamake laki 5 za kukopa shoga...amejaa maden tu..namanisha madeni...ss mm wakaz gan huyo?mbinafs kufa...ni ndoa ya kutegeana..akiona luku imekata anakuambia nunua nitakirefund end of month yaan yy kila kitu anakuanbai fanya nitakulipa mshahara ukitoka..!jaman si bora nikakaa alone...?inafikia kipindi unakosa kns hisia naye..yaan unajiuliza maswali hayana majibu
Hahaha hahaha hahahaAkhaaa ya kwangu napambana nayo mm mwenyewe yakinizidi nitakuja kwako kukulilia nataka kwenda msumbiji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] na wewe si huwa unanijibu nani kanidanganya mfyuuuuuu
Mm siji kufata kitu sikijui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] hahah msumbiji kunanipa ujeuri kwa sababu ya dogo anaishi kule halafu najua naenda mbali kunipata sio rahisiHahaha hahaha hahaha
Hivi wewe kwenu msumbiji au kuna mtu anakudanganya eti!
Halafu leo nashangaa unasema mambo ya kubaki wakati kuna muda unawaza kwenda msumbiji...
Mie nawolewaa nitakimbilia Kongo
Ongea sasa hapo, unaguna nini
Dah mm nawaonea huruma watoto tu yaani watoto na huyo mume mlevi sijui inakuwaje jamaniss imefikia hatua namuona kawaida tu..hb unampa heshima ipi mtu km huyo ss..ndo chqnzo kikaanziq hapl[emoji23][emoji23]
Unasema kweliHahaha hahaha hahaha
Hivi wewe kwenu msumbiji au kuna mtu anakudanganya eti!
Halafu leo nashangaa unasema mambo ya kubaki wakati kuna muda unawaza kwenda msumbiji...
Mie nawolewaa nitakimbilia Kongo
Nimekosa la kuongea nimekuwa bubu ghafla ila watoto tu ndio wanaonitia huruma jamaniOngea sasa hapo, unaguna nini
Hahaha hahaha hahaha hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] hahah msumbiji kunanipa ujeuri kwa sababu ya dogo anaishi kule halafu najua naenda mbali kunipata sio rahisi
Unataka kukimbia nae congo
Hebu hukooo
Wewe si mama muinjili Jamani...Nimekosa la kuongea nimekuwa bubu ghafla ila watoto tu ndio wanaonitia huruma jamani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha hahaha hahaha hahaha
Hebu vumilia huko, na umpende mumeo... Msumbiji my foot
😂😂😂kwamba kasie amefeli maisha..tuna stereotype ya ajabu sana...bas mm pia mzaz wangu aliniambia hv!:Jitahidi usifanye maamuzi yatakayo haribu future ya watoto. Samehe mlee watoto na mumeo. USIJE THUBUTU KUFUATA USHAURI AU KUTAMANI MAISHA YA WALIOFELI MAISHA KAMA AKINA kasie NA MBAYA ZAIDI WANATUMIA MBINU YA USHAWISHI KUWAPOTOSHA WENGINE. Be careful na watu type hiyo.