MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu!

Nilinunua gari hiyo harrier 3.0 na ninaenjoy mpaka sasa mwezi wa sita tangu nianze kuitumia. Napiga safari ndefu bila wasi wasi wowote na consumption yake si mbaya sana, 9.5km/L mpaka 11km/L. I am comfortable with it, yeyote mwenye ndoto ya kumiliki harrier wala asiogope comment za watu mara jini sijui a monster on using fuel! We cheki mfuko wako tu ili maisha yasonge.

Watu ambao huwa wana negative comments katika maisha mara nyingi ni wale wasio na uzoefu wowote na kitu wanacho comment (just imagine kuna mtu alisema inatumia hadi 5km/L, asa sijui imekuwa scania ya kubeba vifusi?).

They comment based on hear says! Ukitaka majibu sahihi ulizia watu wenye uzoefu na hicho k
 
Back
Top Bottom