captainJack
Member
- Jun 15, 2011
- 12
- 2
Macreti ya ba na chupa zake yanahitajika. Kuna mdau amefungua biashara ya kuuza bia. Cret mia tano zinahitajika. Kwa mwenye nazo tuwasiliane.
kwa wingi huo hutaweza kuzipata kirahisi nenda tbl au kwa agent aliyekaribu nawe hata ukitaka elfu moja,nadhani chupa moja wanauza shilingi mia tatu kama bado haijapanda.