Machungu ya masaburini!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Machungu mengine ni ya kujitakia. Angalizo: Usicheze na ng'ombe wa banyankole!

 
dah ina maana jamaa amenyanyuliwa juu kwa kupitia kwenye tundu la masaburini...? hii sio maumivu madogo
 
bahati yake hizo pembe zimekatwa kwenye ncha sivyo angegeuzwa kuwa mfuasi wa David Cameron
 
aweza kutolewa marinda hivi hivi huyu mwanaharamu!!
 
haaa haaa jamaa hapo haendi kubwa mwaka.
 
duuh jamaa akienda kushonwa huko nyuma. Haja kubwa ataendaje? Mana akinya tu atachana nyuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…