Machungu ya kukosa ajira

Kum face mchuchu ukiwa huna posho ni kigingi, kila demu mzuri lazma utakuwa unamkwepa tu sababu unahisi gharama zake hutaziweza.
Kabisa masta, kwanza kuna kipindi kinafika ukitongoza dem kabla hata hajakukubalia muende sawa utaona anakuuliza maswali ya kutaka kukujua unaishije mjini hapa na mishe zako, kama ndio apeche alolo unashangaaga tu ashakucrop hata sms hajibu. [emoji16][emoji16]Oya..sio poa inauma kinyama maana unakuwa ushajua sababu iliyokukosesha mchuchu.
 
Noma kweli
 
Daa tukasema labda hii kazi ya sensa itapunguza machungu, lakini ndo kwanza wamewapa waajiriwa tena. [emoji25][emoji25]
 
Angalau wangetoa kipaumbele kwa vijana waliomaliza vyuo ila hawana ajira, ndio wakaifanye kazi ya sensa kupunguza ugumu wa maisha. Eti waalimu ndo wanapewa kipaumbele
 
Big up!!...Fight to the end
 
Huu ni ukweli mchungu kwa wengi. Mwenyezi mungu atuongoze....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…