Machungu ya kukosa ajira

Kabisa
 
Mkuu ebu nisaidie mambo haya,
Nauli kutoka Zenji mpaka Dar ni bei gani
Je vitu gani ambavyo ukinunua huko Zenji TRA watakukamata kutaka makato,
Vip biashara ya kule eti bei ni ndogo sana kulingana na huku Dar
 
Naomba nijibu mimi hili swali;
1. Nauli ya kwenda Zanzibar kwa Boat kwa daraja la mwisho kabisa (economy class) ni Tsh. 30,000/= na daraja la juu (Royal class) ni Tsh. 60,000/=
2. Vitu ambavyo ukinunua lazima ulipe kodi TRA ni vile unapokuwa na vitu vingi ambavyo kiuhalisia utaonekana unakwenda kufanya biashara na sio matumimizi binafsi. Halafu TV kuanzia juu ya Nchi 32 na Friji utapaswa kulipia kodi japo sio kubwa kivile.
3. Huku Zanzibar vifaa vya kutumia umeme bei yake ni nafuu kidogo tena vile used ndio kabisa ila vitu used muda mwingine ni kama kucheza kamari.
NB! Biashara ya ubuyu wa babu Issa kutoka Zanzibar inalipa sana huko Bara ukiwa na goli zuri tu.Naishi huku Zanzibar mkuu ukitaka kufanya biashara njoo utakuwa mgeni wangu nitakupitisha chocho zote.
 
Mkuu ebu nisaidie mambo haya,
Nauli kutoka Zenji mpaka Dar ni bei gani
Je vitu gani ambavyo ukinunua huko Zenji TRA watakukamata kutaka makato,
Vip biashara ya kule eti bei ni ndogo sana kulingana na huku Dar
Nauli kutoka dar mpaka zanzibar ilikuwa elfu 25 ila kwa sasa imepanda ni elfu 30
Hakuna vitu specific ambavyo vinakatwa kodi wao wanaangalia ukubwa wa mzigo kwa mfano mtu aliyebeba TV moja kutoka zanzibar hawezi kuwa sawa na aliyebeba TV 5 au sita wanaamini ukibeba nyingi unaenda kuuza hvyo lazima kodi iwe kubwa sana
Bei ya baadhi ya vitu ni ndogo ila vitu vingine bei inalingana na kkoo.
 
Ukiwa jobless afu michongo huna unakosa hata confidence ya kutongoza dem, nishapoteza wadada kadhaa ambao baadae nilikuja kujua ni vile tu sikuwa na mbele wala nyuma. Acha mzee hapo lazima upate permanent membership card ya chaputa
 
ok, ubarikiwe mkuu, hakika Jf ni zaidi ya ndugu, nikipata nafasi nitakuja huko, ngoja nijichange change kwanza,
 
Thanks, God bless you
 
Ukiwa jobless afu michongo huna unakosa hata confidence ya kutongoza dem, nishapoteza wadada kadhaa ambao baadae nilikuja kujua ni vile tu sikuwa na mbele wala nyuma. Acha mzee hapo lazima upate permanent membership card ya chaputa
Kuna dada mmoja nilikutana nae maeneo ya Mwenge pale,yule dada alinikubali kinoma aisee,alionesha dalili zote hata pale pale ningeomba mzigo napewa, ila nikajisemea Mwanangu Hela una hata ukiambiwa twende gest ni mtihani mkubwa,Cha msingi wee tulia tuu.Nilivyo rudi home nikajilaumu sana,nikasema bora ningejaribu tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…