Machungu ya kukosa ajira

Jamani hakuna kipindi kigumu kwenye maisha ,kama ukosefu wa Ajira,.Mimi binafsi nimeapa ,kamwe siwezi kuongeza neno Kwa jobless, ikiwa Sina Cha kuwasiadia, basi at least nisiwaumize.Watu wanaongea ongea tuu kisa wapo kwenye system,ila msoto wa kuwa jobless ni mzito mno...

Siku moja fanyeni harakati za kumpiga mawe, mwanasiasa atakaye ongea shit kuhusu jobless....
 
Acha kabisa umenikumbusha nilikaa bila kazi miaka mitatu...nilishia kujiunga chaputa tuu maana ndio nji ya kutoa stress za maisha. Warembo wanakukwepa kama ukoma, ndugu ndani ya nyumba vikejeli vya hapa na pale, huna raha kabisa. Faraja ya gu ikawa kuanga lia pornography na kunyetuka tuu.

Hili jambo lisikie tuu kwa wengine lakini lisikifike wewe au mtoto wako. Mzazi u aona kabisa anaumia ila ndio hivyo tena atafanyaje wakati system inakwambi ukajiajiri. System inapongeza mtu mwenye masters kuendesha bajaj au kuuza kande. Kweli bongo nyoso. Nilikuwa naona jamaa wajinga ila nimekuja kuamini bora uzaliwe kama mbwa wa oprah kuliko kuzaliwa kama mwafrica
 
Dah!Mzee Ukawa unapiga nyeto kabisa,ila ukiwa jobless mademu wanakimbiaga na kukataa Wana,mimi pia ni shahidi wa hilo....
 
Dah!Mzee Ukawa unapiga nyeto kabisa,ila ukiwa jobless mademu wanakimbiaga na kukataa Wana,mimi pia ni shahidi wa hilo....
🤣🤣🤣🤣 Mie nilikuwa na gelo frend akiniambia " huna mbele wala nyuma kama mche wa sabuni" kila ukikaa ukianga mche wa sabuni unaona kweli mbele sii mbwle nyuma sii nyuma 🤣🤣🤣🤣🤣

Ah wee mwanamke hakai kama huna chedez...ndio maana bora uwagegede tuu wala usiumize kichwa kwamba eti anakuoenda.
Wee penda tako lake yeye wacha apende hela zako basi.
 
Dah!Mzee Ukawa unapiga nyeto kabisa,ila ukiwa jobless mademu wanakimbiaga na kukataa Wana,mimi pia ni shahidi wa hilo....
😂 ila mkuu mimi kipindi sina kazi japo sijakaa sana kitaa nilifanikiwa kua na kibanda cha uwakala sasa mademu wengi sana wakawa wanajigonga wenyewe wakijua nina ela kwahyo sikukutana sana na hayo masahibu.
 
 
Nimecheka walahi kama mazuri, ila kipindi cha ukosefu wa Ajira wanawake wangejua ndio chakujipatia wanaume wa kuwaoa...
 
Nimecheka walahi kama mazuri,ila kipindi Cha ukosefu wa Ajira wanawake wangejua ndo chakujipatia wanaume wa kuwaoa...
Wao wanataka ready made maana ukweli usemwe na sie vidume bwana tukishapata hela tunaanza sema huyu demu sio level yangu...shida ipo hapo kwetu sie wanaume pia.

So sometimes mie nasema wanawake kumtosa mwana ambaye hana hela ni fresh tuuu kwa kuwa wanajua kuwa utahangaika nae na kumvumilia mbeleni akishafanikiwa anataka aende kutomber wakina paula 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kweli yaan,pia na sisi ni mizinguo hasa tukitoboa, tunasahau tulio vuka nao kwenye misoto yetu.
 
Watu huwa nawaambia wewe kama hujapitia msoto WA kuwa jobless usiongee shit ,just shut your mouth up !
Ni nightmare Kwa kweli na nchi hizi za kipumbav zisizo na social safety nets
, unaweza kuamua kuwa muasi hakyanani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…