Pole sana. Jitaidi kukata mizizi yake. Utakua pouwa sana. Angalia chanzo ni nini. Patengrneze.machozi ya huzuni ndio niliyoyazoea katika maisha yangu
Mkuu hujasikia watu wapo kwenye ndoa na watu wenye ukimwi miaka kibao na wao hawana mpaka leo?Mungu amuepesha mzinzi na ukimwi.. kichwa cha habari cha nipashe kesho.
upo sawa kabisa mwenye nia ya kuwa na furaha atakuwa nayo tuMipango ya Mungu... Kuna siku mbaya na kuna siku njema..!! Sina dhamana na hisia za mtu !!!
Mtu unapaswa kujenga tafrija na zawadi ya utu wako !! Pia unaweza chakaza na kuchafua nafsi yako kwa kujifurisha au kujichukiza ...huitwa Uhasidi... ikawa kila kiyu kwako NEGETIVE !!upo sawa kabisa mwenye nia ya kuwa na furaha atakuwa nayo tu