Mkuu sekondari siyo tena sehemu ya kwenda kuanza kumshikia mwanafunzi kalamu au kumfundisha namna ya kuandika speling! we unajua jumla ya topic za masomo yote ya kidato cha kwanza? na mwalimu anachukua dk ngapi kwa kipindi kimoja? huo mda wa kuanza kumfundisha tena mwanafunzi kuandika spellings atautoa wapi wakati alitakiwa awe tayar ameshafahamu akiwa huku primary! kama ndiyo hvyo basi hamna haja ya kuwa na primary school
Spelling za masomo ya sekondari nyingi hazipo primary, masomo ya science hususani. Ni jukum la mwl kuhakikisha mwanafunzi anaelewa hivo
Me Nafundisha Geography Na History Form One.Hao Wanaopata 92 Wao Wanapataje Na Wengine Anapata 4 Au 5 Mtihani Huo Huo??
Hapa Kumbuka Me Naandika Fasta Kujibu Koments.Sijui Kuandika Ningepata Degree Ya Honours Ya Pale Chuo Kikuu Cha Dsm??
Acha Ujinga na kulia lia hapa, watu kama ninyi ndiyo mzigo kwenye hii Jamii yetu na mnaoifanya hii nchi ishindwe kwenda mbele!
Sasa kama wewe kweli ni Mwalimu na umeona kwamba Watoto wana matatizo ni kwa nini usijitolee kuwafundisha? Sasa ulitake nani awafundishe?
Unafahamu hata maana ya kuwa Mwalimu?
Mimi wakati nasoma kulikuwa na Walimu waliokuwa wanabakia shuleni mpaka saa kumi mbili jioni na watoto waliokuwa na matatizo na kuwasadia mpaka walikuwa wanaelewa na hakuna siku walikuwa wanalia lia kama wewe unavyofanya hapa!
Na Je ukiletewa watoto wa Mitaani ambao hawajawahi hata kuona mlango wa darasa ulipo utafanyaje? Unafikiri nchi itaendelea kwa kulia lia hivyo kama mtoto mdogo?
Ndiyo maana rais Mkapa aliwaita wa-Pumbavu na ma-Lofa kwa maana hamna akili wala uzalendo hata kidogo si ajabu wewe mwenyewe umefika hapo ulipo kwa sababu kuna watu huko nyuma walijitolea kukusadia kwa namna moja au nyingine sasa kama kila mtu angesema kama ulivyosema wewe si leo hii ungekuwa kwenu Machame unachuna mbuzi!
"Koments" ni neno la kiingereza au kisukuma, wewe ni wale walimu wa division 5 halafu unabwabwaja eti una honours ya UDSM. Kama ni hivyo nimekudharau wewe na hicho chuo.
Acha Ujinga na kulia lia hapa, watu kama ninyi ndiyo mzigo kwenye hii Jamii yetu na mnaoifanya hii nchi ishindwe kwenda mbele!
Sasa kama wewe kweli ni Mwalimu na umeona kwamba Watoto wana matatizo ni kwa nini usijitolee kuwafundisha? Sasa ulitake nani awafundishe?
Unafahamu hata maana ya kuwa Mwalimu?
Mimi wakati nasoma kulikuwa na Walimu waliokuwa wanabakia shuleni mpaka saa kumi mbili jioni na watoto waliokuwa na matatizo na kuwasadia mpaka walikuwa wanaelewa na hakuna siku walikuwa wanalia lia kama wewe unavyofanya hapa!
Na Je ukiletewa watoto wa Mitaani ambao hawajawahi hata kuona mlango wa darasa ulipo utafanyaje? Unafikiri nchi itaendelea kwa kulia lia hivyo kama mtoto mdogo?
Ndiyo maana rais Mkapa aliwaita wa-Pumbavu na ma-Lofa kwa maana hamna akili wala uzalendo hata kidogo si ajabu wewe mwenyewe umefika hapo ulipo kwa sababu kuna watu huko nyuma walijitolea kukusadia kwa namna moja au nyingine sasa kama kila mtu angesema kama ulivyosema wewe si leo hii ungekuwa kwenu Machame unachuna mbuzi!
Kujua lugha Lazima wafanye vitu 3 was one story book sana, dictation na debates. Hapo atajifunza kusoma, kuandika proper spelling lakini debate na kuongea. Mimi form one nilisoma story book 126 na kuziadithia
....Badala Ya Kuandika Legs Anaandika Leges,process-presse,before-bifore,stone-ston,monkey-mankey,fire-firs,....
Kwa Kweli Kama Hali Ndio Hii Mwakani Naacha Kazi Ya Ualimu.Watoto Hawawezi Kuandika Kiingereza Kabisa.Wamefauluje Kuja Sekondari,nimefundisha Topic Na Kurudia Mara Nyingi,wapo Waliopata A na b na c pia.kuna kundi kubwa la waliofeli hadi mtu anapata 12,18,4,yani Nimelia Kwa Kuona Mtu Badala Ya Kuandika Legs Anaandika Leges,process-presse,before-bifore,stone-ston,monkey-mankey,fire-firs,kwa Kweli Kwa Namna Hii Sijui Wanafauluje Watu Kama Hawa.Waalimu Wenzangu Nitumie Njia Gani Mana Kuandika Hawajui Na Mimi Sylubus Haina Sehemu Ya Kufundisha Watu Kusoma Na Kuandika.Nimetumia Kila Njia Ila Madogo Baadhi Hawaelewi Kitu.
Hapa Kumbuka Me Naandika Fasta Kujibu Koments.Sijui Kuandika Ningepata Degree Ya Honours Ya Pale Chuo Kikuu Cha Dsm??
elimu imechanganywa na siasa kaka..usitegemee kupata compitence students..timiza wajib wako tu mkuuuu