Macho yanawasha sana hadi kero

Vumbi la congo

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
620
1,000
Wakuu nasumbuliwa na macho hasa jicho moja la upande wa kushoto..yan likianza kuwasha linawasha kweli kweli

Najitahid kujizuia kulifikicha ila nashindwa matokeo yake nayafikicha mpaka nahisi yanaweka vidonda..

Je tatizo hili nalitatuaje iwe kwa dawa za hospital au hata za kiasili maana hali hii inanikosesha raha.
 

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,169
2,000
Hiyo ni dalili ya conjuctivitis, sasa matibabu hutofautiana kulingana na chanzo cha tatizo, inaweza kuwa allergic/aleji, bacteria/sababu ya bakteria nk.
Hovyo si mbaya kama ukienda hospitali kwanza.
Ila kama uko mbali na hospitali au wakati unajipanga, tafuta dawa ya macho ya matone: Dexamethasone + Gentamycine eye drops.
Wakuu nasumbuliwa na macho..hasa jicho moja la upande wa kushoto..yan likianza kuwasha linawasha kweli kweli..najitahid kujizuia kulifikicha ila nashindwa matokeo yake nayafikicha mpaka nahisi yanaweka vidonda..je tatizo hili nalitatuaje iwe kwa dawa za hospital au hata za kiasili maana hali hii inanikosesha raha
Sent using Jamii Forums mobile app
 

upalala

JF-Expert Member
Mar 5, 2017
318
250
Wakuu nami ninatatizo la macho kuwasha na kuwa kama yanataka kutoa machozi na muda mwingine kupelekea kichwa kuuma
Naombeni msaada wenu wa mawazo NA ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom