Ulidhike😱
Utakuwa umejaaliwa kutenga macho na tamaa za mwili!Hongera lakini mie naona chanzo cha kuongezeka kwa tamaa kwa wanaume ni kuona mitikisiko hii ikipita,
Sometimes when I close my eyes, I can't see.
But you can speak and your sweet voice heard.
yes i can
Good your still attracting as a normal cute woman
You are welcomethank u
Bora mlivyojitambua kwa ujinga mnaoufanyagaaaa......
Sasa hapo mkuu utalaumu macho au MOYO?
Tatizo sio macho bali ni tamaa zako ulizonazo ndizo zinakuponza unatakiwa ulidhike na yule uliyenae
Macho hayo, bila macho utamtafutaje mtu mtandaoni
Bora tu mngekua vipofu
Afadhali maana mngetuchagua, na nyie ni wepesi wa kupenda na kuridhika!haya madhambi yangepungua