Macho ya paka

Macho ya paka

Joined
Jun 4, 2012
Posts
12
Reaction score
2
Kuna jamaa mmoja alipata ajali na kupelekwa hosi macho yake mawili yakaaribka na ikamlazmu abadilishiwe kafka pale daktari kamwambia macho ambayo yamebaki ni ya paka dah jamaa alikubali akabadilishiwa akarudi nyumbani kesho yake karauka hosi daktari kamuuza vpi sahi uko sawa? Jamaa kakana hapana daktari kwa nini yule jamaa kamwambia tokea unipe yale macho mi NAONA TU PANYA!!!
 
Hahhaha hiyo kali sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom