Macho ya BANGE au Uchungu wa NGWEA? Tuongee ukweli

Ni kama kawaida ya ducha muda wote linaharufu ya nyama.
Hii kitu ukiishiba inakufanya ucopi mazingira fulani.
Inawezekana hata hajaweka ile kitu lakini amekuwa adapted sasa.
 
Hivi sheria za vilevi havimkamati mwenye dalili zote za utumiaji wa madawa ya kulevya kama Bangi,Unga,Mrungi na mvuta bangi?nadhani kungekuwa sheri ahizo ingesaidia kupunguza au kama sii kumaliza tatizo.Sheria isiwe kwa muuzaji,mkulima,au msafirishaji peke yake.imbane pia mtumiaji
 
Ni kama kawaida ya ducha muda wote linaharufu ya nyama.
Hii kitu ukiishiba inakufanya ucopi mazingira fulani.
Inawezekana hata hajaweka ile kitu lakini amekuwa adapted sasa.

Mbona hamuongelei pombe na wabongo kibao wanapombeka kinoma na kusababisha ajali nyingi barabarani bange bange
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…