Macho kucheza ni ishara ya nini?

Utaona mambo mapya na kuyaongea
 
Issue ya stress na kutokuwa na mzunguko mzuri wa damu jaribu kufanya mazoezi kunywa maji ya kutosha na kula virutubisho kamili
 
Hatua ya kwanza ni lazima uamini kuwa Yuko Aliyeziumba mbingu na nchi (ardhi) Akaviweka vinavyoonekana na visivyoonekana. Wewe waamini hayo??????
Nachagua kuto amini, Weka kwa faida ya members
 
boss ulikuwa ukila mmea mitaa ya Masandare, sio? 🀭
Kwenye ukoo wetu watu wamejenga imani mtu mkubwa , baba waboma akitaka kufa mifugo inakufa nahata ndizi inadondosha mtoto wake ghafla na huwa inatokea kweli .
 
Jambo linaweza kuwa la kawaida tu ukilijengea imani kivingine linaweza kutokea , hiyo ni nguvu ya wazo , ubongo unaweza kukuletea kitu katika uhalisia wakati ni wazo tu
Nakubaliana nawewe!
Kuna ya mijusi sitaki hata kuisikiaaaaπŸ™ŒπŸ™Œ!


Hivi vitu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Cc Smart911
 
Nakubaliana nawewe!
Kuna ya mijusi sitaki hata kuisikiaaaaπŸ™ŒπŸ™Œ!


Hivi vitu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!

Cc Smart911
Kila kitu unachokiona , magari maghorofa na tenkonologia kubwa ni matokeo ya ubongo , yani wazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…