Machizi

Machizi

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,970
Reaction score
13,424
Ni hivi DR.Naniliyu aliamua kuwapa mtihani machizi fulani ili kugundua ni nani ambaye ana uafadhali kati yao
DR:Halo hebu sikilizeni nataka wote muanze kulia kama kuku
Basi wale machizi wakaanza kulia wengine kama Jogoo wengine kama Tembe ili mradi tafarani mule ndani,ila kuna kichaa mmoja yeye alikuwa kajibanza kimya kwenye kona ya kile chumba Dr akaona yakuwa yule ndiye atakaye kuwa na uafadhali na kuamua kumfuata na kumuuliza
DR:vp mbona wenzako wote wanalia wewe umekaa kimya?
CHIZI:Subiri kwanza nataka kutaga
 
Back
Top Bottom