mkuu mshana uko poa.
pole sana mkuu usijali tushikiriane kununua neti na kuzitumia kutokomeza huu ugonjwa
mkuu kwenye mapambano yoyote lazima utambue kuna wanafaidi hilo nakuunga mkono lakini tukiamua kutokomeza tunaweza kufaninikiwa mkuu sasa tunatakiwa kuandaaa mbinu za kuangamiza mazalia yote .Asante sana Kill 3 lakini naamini kinga na tiba ya kudumu ya hili tatizo la ugonjwa wa malaria ni kuangamiza mazalia yake....japo kuna watu wananuna nikisema hivyo kwakuwa kwao malaria ni ajira ni maisha
Sijaelewa, alitoboa katundu ku-ventilate?
cc Dk Pdidy.