kabla hajapita wa kwanza walikua wanaimbaje mpaka uyo mtu akachungulia?
Mh! Bora umenishitua maana muda si mrefu wangeanza kuimba 14...14 ...14
...14
Searching...100%
Loading...100%
4G Connected !
Near by Matema beach Mbeya.
cku hizi mtandao wako unashika hadi 4G
4G kwa tz? 3G yenyewe tu magumashi baadhi ya maeneo
mwezi uliopita nilikuwa natumia HTC Sensation na nilikuwa napata 4G bila matatizo. voda Arusha kunamaeneo unapata 4G.