sonashi
Member
- Jul 27, 2012
- 44
- 10
Jamaa mmoja alipita pembeni ya ukuta wa jela ya machizi, ghafla akasikia wale machizi kwa ndani wakishangilia kwa kuhesabu '12....12....12....12'. Jamaa akatamani aone kinachoshangiliwa humo ndani akaona kuna tundu kwenye ukuta akachungulia ndani ghafla akatobolewa jicho wale machizi wakaendelea kushangilia kwa kuhesabu '13.....13....13....13'