hahaha, nilisikiliza mafundisho ya Mwakasege, anasema alikuwa Madagsca kama sijakosea kwenye mikutano, chakula cha high table ilikuwa ni chura hahaha, alishindia mikate hadi aliporudi Tanzania