Machinjioni

maybe and maybe not, nyama si nzuri kwa afya kaka, Mshana Jr njoo unisaidie kuhubiri
Basi wamasai na wasukuma wangekuwa na afya mbovu.
Mi ntaendelea kula tuu dada..
 
Basi wamasai na wasukuma wangekuwa na afya mbovu.
Mi ntaendelea kula tuu dada..
sawa kaka, mimi sipendi nyama hata hivyo.....ila nimependa upo muwazi sana hahahha
 
Jamani nyoka ngozi tu, ikishachunwa ni mlo maridhawa. Nawashangaaa mnaona kinyaa kula nyoka, wakati wengi wenu MNAPIGA DEKI BALAA ( Kwa wanaume wa mikoani hapa namaanisha kuzama chumvini)
 
Kuna sehemu nilipata watu wanawachinja punda sana. Madhara ya nyama ya punda utayajua usiku wa manane watu wakianza kukoroma. πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…