Mbogo Junior
JF-Expert Member
- Jan 21, 2012
- 257
- 72
na direction ya huko anakoangalia mnjama.KIBLA@.......tatizo sio kuchinja, ....tatizo unamshukuru nani kabla ya kuchinja !
Bado kuna watakaotaka "haki" ya kuchinja..
Hata ile asilimia ndogo ya Waislamu wa Tanzania wanaomuona Mkristo na Myahudi kuwa ni katika ahlul kitaab nao mtawakosa!Halafu hiyo mashine itatakiwa kuwa operated na purely mpagani.
Hakuna maneno ya kuomba wala kushukuru maana hawa wanyama tulishapewa na Muumba toka mwanzo wa dunia,tunaotaka kushukuru tutashukuru kikiiva!!
Mpagani wetu wa kuchinja yeye kazi yake ni kubonyeza tu kitufe, kichwa cha ng'ombe kule!
Kisha anaita, Mwingine....! Mwingine....!
.......tatizo sio kuchinja, ....tatizo unamshukuru nani kabla ya kuchinja !
nasapoti hiyo kitu. tuachane kabisa na watu wa dini fulani tu ndio wachinje....au kama wanataka kuchinja basi wasipate ujira wala wasiondoke na hata kilo moja ya nyama....manake hilo ndo mojawapo ya tatizo....mchinjani hatoki mikono mitupu...hahahaha. ndo maana watu wametoa ndita wanaona wananyang'anywa tonge mdomoni.
Kwa mujibu wa baadhi ya dini unapochinja mnyama kuna maneno yanasemwa,na mnyama anaelekezwa uelekeo fulani,je kama mashine ikifungwa na haijaelekezwa huko na maneno hayatamkwi si itakuwa ni tofauti na maelekezo ya dini yao? Na kama mashine ikielekezwa uelekeo huo au maandishi yakawekwa kwenye kisu cha mashine si wa dini nyingine wataona hawajatendewa haki? Na operator wa mashine atatoka dini ipi ili kuwe na usawa?