MGOGO27
JF-Expert Member
- Jan 5, 2016
- 459
- 217
Kuna sehemu nyingi za biashara ndogondogo mkoa wa dodoma kama mnara wa uhuru,mashujaa,jamatini,soko la majengo,one way na sehemu nyingine nyingi sehemu hizo zote huaga kuna wafanyabiashara ndogondogo ambao wanafamilia zao au majukumu kama binadamu wengine sasa kutokana na mazingira yetu au Tanzania kuwa viongozi sio wabunifu na wababe AJIRA HAWANA NA WAMEAMUA KUJIAJILI sasa kuna migambo maalufu kama nyoka wanazuia hawa wananchi kufanya kazi maeneo hayo,swali langu hawa jamaa na familia zao wakaishi vipi?baada ya kutengeneza mfumo wa kisasa kuwezesha watu kufanya kazi na kuwatoza kodi wao wanawazuia inaniuma sana natafuta njia ya kuwakomboa machinga wa dodoma na Tz kwa ujumla