Machinga msikumbali Jerry slaa

Machinga msikumbali Jerry slaa

singsong

Member
Joined
May 7, 2014
Posts
77
Reaction score
9
Mimi nawaomba wafanya biashara ndogondogo Gongolamboto tuungeni mkono msimkubali diwani wenu maana ni mtu anayependa fedha kama alivyotudhulumu hapa machinga complex tunahakikisha tunamburuza kotini.
 
mkuu mbona diwani wenu ni makini sana , ameweka masanamu mji mzima hadi raha !
 
Back
Top Bottom