Machinga complex ya DarVs Soko la Mchikichini

Machinga complex ya DarVs Soko la Mchikichini

Mutoma

New Member
Joined
May 9, 2011
Posts
2
Reaction score
0
jana niliona taarifa ya kuungua kwa soko la Mchikichini. Je tuchukulie hili tukio kama sababu tosha ya wafanya biashara ndogondogo kuhamia Machinga Complex?
Masoko mengi Tz yako chini ya viwango vya usalama hasa kuhusu moto. Hili liwe fundisho kwa masoko mengine ambayo hayajaungua.
 
Back
Top Bottom