KAKA NASOKI
Senior Member
- May 25, 2016
- 191
- 212
Wenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?
Wapi Mkuu hapo pia acha watu watafte rizikiWenye maduka na wamachinga wameamua kupanga bidhaa kwenye pavement za waenda kwa miguu, na Manispaa ziko kimya. Hivi waenda kwa miguu wapite wapi?