Machine za ku press mabati zinauzwa ziko Arusha mjini

Machine za ku press mabati zinauzwa ziko Arusha mjini

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
machine ni automatic,
inatoa aina 2 za mikunjo, it4 na vigae,
nyingine inatoa aina moja ya mkunjo corrugated au migongo ile midogo ya kawaida,
inatumia 3phase, material inaingia 100cm inatoa 92cm product.Njoo inbox please.
Screenshot_2022-03-31-18-40-53-282_com.facebook.katana.jpg
IMG_20220314_135328.jpg
IMG_20220314_135341.jpg
IMG_20220314_135309.jpg
 
Dah! Mheshimiwa unauza kiwanda! Ungeweka tu hata bei basi ili tujitathmini. 🙄
 
Bonge la mradi mtaalamu sijui nini kimekukwaza

🇹🇿au garama za uendeshaji ni kubwa?

🇹🇿 Au sheet za mabati hayo hazipatikani?

🇹🇿Au product imeshindwa kufanya vizuri.sokoni?

🇹🇿 Au.washindani wamekuzidi.nguvu?

🇹🇿 Au usimamizi ni mdogo wafanyakazi wanakupiga?

🇹🇿 Au umepata mashine nyingine za technologia ya kisasa zaidi?
 
Bonge la mradi mtaalamu sijui nini kimekukwaza

[emoji1241]au garama za uendeshaji ni kubwa?

[emoji1241] Au sheet za mabati hayo hazipatikani?

[emoji1241]Au product imeshindwa kufanya vizuri.sokoni?

[emoji1241] Au.washindani wamekuzidi.nguvu?

[emoji1241] Au usimamizi ni mdogo wafanyakazi wanakupiga?

[emoji1241] Au umepata mashine nyingine za technologia ya kisasa zaidi?
Washindani wamekuwa wengi mkuu.kwa hapa ARUSHA boss labda upeleke Mikoa mingine.
 
Washindani wamekuwa wengi mkuu.kwa hapa ARUSHA boss labda upeleke Mikoa mingine.
Pole mkuu , nakupongeza kwa uwekezaji mkubwa ulioufanya, sijajua alaffu wenyewe sheet zao wananunua wapi maana zibajitahidi kweli kuto kupauka na hivyo wateja wamekariri
 
Pole mkuu , nakupongeza kwa uwekezaji mkubwa ulioufanya, sijajua alaffu wenyewe sheet zao wananunua wapi maana zibajitahidi kweli kuto kupauka na hivyo wateja wamekariri
Tunanunulia china mkuu .Jambo jingine ni usafiri umepanda mara tatu .na haya makodi nayo shida mkuu.
 
Back
Top Bottom