Machine makes water out of Air!!

Hii technology ilishasfika TZ kama sikosei mwaka mmoja na nusu hivi. Mimi ninayo machine iitwayo WATERMAKER aina ya SOHO. Machine hii inatumia refrigeration techniques to exploit the natural process of condensation to produce water from the humidity in the air. Following condensation, water is passed through series of advanced filters which remove any pollutants and microbes that may be in the air, producing the highest quality drinking water. Wataalam walipima maji yanayotengenezwa na machine hii wakakuta ubora wa maji ni bora kuliko bottled mineral water nyingi zinazouzwa madukani. Machine yenyewe ina uwezo wa kutengeneza kati ya lita kumi na tano mpaka ishirini za maji kila siku kwa kutegemea kiwango cha humidity mahali unapoishi na ina sehemu ya kutoa maji moto na baridi. Technology kama hii ingetufaa sana hapa kwetu ukizingatia uhaba wa maji sehemu kubwa hapa nchini.
 
An interesting idea. Come to think of it, you can make your own watermaker by puting together a dehumiditier and a mini purifier system. Dehumitifiers are not that expensive huko unyamwezini - Bongo niliziona kwenye duka moja tuu, but a bit expensive. Would be perfect in Dar because of high humidity...
 
Back
Top Bottom