Machimbo ya nguo kali karume na gomzi yako wapi skuiz???

Machimbo ya nguo kali karume na gomzi yako wapi skuiz???

Methyl phenol

Senior Member
Joined
Jul 22, 2021
Posts
184
Reaction score
283
Hey, niggaz kwanza samahanini wote najua nimeweka huu uzi sio mahali pake lakn just nmeweka hili jukwaa sababu huwa nalikubali compared to other forums

Me nna swali kdogo tu
Always machimbo yangu ya nguo huwa ni pale karume na kdogo labda gomzi pale coz me nguo zangu napendelea unyamwez flan iv Kama wa mtumba iv wazee wa karume pale wanaelewa Asa nowdays nikienda pale nakuta washkaj washatolewa yan unakuta wachache sana wale wenye nguo za kuning'iniza au almost hamna kabisa the same case na pale gomzi

Sasa shida yangu nataka kujua wamehamishiwa wapi haswa manake sio gomzi sio karume hamna pamba za kueleweka..
[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom