Machimbo ya kulangulia Simu used za Batani (simu ndogo)

Whitney Houston

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2019
Posts
237
Reaction score
444
Habari za majukumu wanajamvi!?

Natamani kufanya biashara ya simu used za batani ila sijui pa kuzilangulia na garama za kulangua mzigo zipoje, humu jamvini hakuna linaloshindikana kwahiyo Naomba mnijuze machimbo ninayoweza kupata mzigo.soko la kuuzia tayari ninalo......natanguliza shukran
 
Ukitoka Uhuru inapokutana na Msimbazi(Zamani kulikuwa na roundabout siku hizi mataa) kama unataka kuanza kuelekea China Plaza. Kimtaa cha maduka cha kwanza kulia(sio mtaa wa barabara) humo yapo maduka ya jumla mpaka unatokezea upande wa Aggrey, jinsi ya kuyajua hayana meza ya display, duka zima linajaa maboksi ya simu tu..

Simu Jumla.png

Hio sehemu mbili zenye line nyekundu...
 
View attachment 3333371

Hio sehemu mbili zenye line nyekundu..owa
ooh,sawa asante,kwahyo hayo mabox unakuta yamesheni ni simu used pekee? Itabidi nitafute mwenyeji mi nipo mkoani na dar sija wahi fika,hauna mawasiliano yao?
 
Mkuu kwani bei ya hata mpya kitochi ni ngapi ? sababu ikiwa used (kulingana na bei ya mpya kwa sasa kuwa ndogo) si itabidi labda wauze kwa mafungu au hata kwa bei ya battery na charger mpya ?
 
Ukitoka Uhuru inapokutana na Msimbazi(Zamani kulikuwa na roundabout siku hizi mataa) kama unataka kuanza kuelekea China Plaza. Kimtaa cha maduka cha kwanza kulia(sio mtaa wa barabara) humo yapo maduka ya jumla mpaka unatokezea upande wa Aggrey, jinsi ya kuyajua hayana meza ya display, duka zima linajaa maboksi ya simu tu..

View attachment 3333371

Hio sehemu mbili zenye line nyekundu...
Itanisaidia hii
 
Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?Nimewa nini simu za bataunataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano ununategeiasi gani na kuuza kiasi gani?
Kwasababu ya soko la kuziuzia nimeshalisoma wateja wengi ukitangaza Wana bid kwa Elfu kumi mpaka kumi na tatu hawa ni wengi na hapo nakua nimetangaza simu ni 20k.
Kwahiyo nategemea kulangua kwa Elfu saba kushuka chini.
Na nimechagua Batani kwasababu naona mzunguko wake ni mkibwa

Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?

Kwa nini simu za batani unataka ziwe used?Kwa nini zisiwe mpya?Kwa mfano unategemea kununua kiasi gani na kuuza kiasi gani?
 
Mkuu kwani bei ya hata mpya kitochi ni ngapi ? sababu ikiwa used (kulingana na bei ya mpya kwa sasa kuwa ndogo) si itabidi labda wauze kwa mafungu au hata kwa bei ya battery na charger mpya ?
Mpya kuna ambazo utalangua kwa 14k,15k,16k...zipo hadi za kulangua 20k-30k....ambapo utauza kuanzia 25-50 kulinga a na brand na mzunguko ni mkubwa ila sio SAWa na used.

Nimewahi kusikia wanaziuza kwa kilo ila nilie msikia akisema hivyo alininyima chimbo hata nikampa visenti vya soda anioneshe akakataa.
 
Unataka kusema nni j
kwa kweli dayamondi aseme tu ukweli kilitokea huko.....
pdidy alimtaka hata huyu

Hahaaa,alie kudanganya whitney alifanikiwa kwa ku-pididiwa ni nani?
Huyo dayamondi wenu hata kuimba hajui sauti mbayaaa mpaka ichujwe studio ndo mambo yaende ataacha ku-pididiwa??
Uliwahi sikia wapi whitney sauti iyake imechujwa kiasi cha kuhitaji apakwe mafuta kwanza ili mkwanja usome? Huyu uko alipo malinda yake yamekamilika mpaka leooooo,sauti yake tu ilitosha kuuza album
 
Itanisaidia hii
Sawa sawa, hapo ukienda inabidi uwe na kitu unachotaka kichwani ukifika tu unataja model.. ukiulizia ulizia sana wanajua wa kuja wanakunyoosha na bei ya rejareja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom