Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 660
- 599
Habari za mda huu wakuu? Kama kichwa Cha habari kilivyoeleza hapo juu. Naomba kujulishwa MACHIMBO ya jumla ya bidhaa za BUCHANI mfano samaki,nyama,kuku wa kienyeji na broiler na
Nyama nenda kiwalani kule vingunguti sokoni, samak feri, kuku nenda soko la Kisutu