Machimbo, Bombom, Chadema , Lumo!!

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Hivi huko mahali kuna watu wengi kiasi gani hapa Dar!?? Maana mida ya jioni daladala kibao zikiwa zimeacha ruti zao mitaa ya Buguruni huwa zinapiga debe kuelekea njia hizo, kulikoni huko wadau!? Mimi ni mkazi wa Gongolamboto lakini mida hiyo hata daladala zetu za huko zinatutosa. Inauma sana.
 
Ndio wapi huko?
 
Watu sio wengi sana kama gongo la mboto na mbagala pale,ni karibu sana toka buguruni wanapiga trip nyingi sana 7bu hakuna folen kama banana palivyo
 
Hamnaga folen huko... Tunakulaga..
 
Watu sio wengi sana kama gongo la mboto na mbagala pale,ni karibu sana toka buguruni wanapiga trip nyingi sana 7bu hakuna folen kama banana palivyo
Oh, asante kwa ufafanuzi, ngoja niwachongee SUMATRA maana ruti zinavurugwa sana.
 
tatizo jengine kuhusu hizi sehemu mbili ni kuwa hakuna ruti zaidi ya moja, mfano machimbo ruti ni moja tu ya kariakoo na kiwalani pia hivo wakati wa jioni watu wote mnakutana sehemu moja hasa kariakoo, buguruni na tazara kusubiria gari za ruti moja
 
Kuna mtu kanijibu makavu hapo juu kuwa niende mwenyewe maeneo hayo nijue pakoje, ngoja nikiri kuwa nitaenda kufanya kautafiti u.ch.wa.ra
 
Back
Top Bottom