Machawa kuendelea kuomboleza

Ama kweli Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni NOOOMA. Yaani minyumbu ndo imekuwa mindondo kiasi hiki?!!!! Tena mingine mizee kabisa?!!!😳😳😳

Huyu mama hapana aisee!!
 
Ama kweli Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni NOOOMA. Yaani minyumbu ndo imekuwa mindondo kiasi hiki?!!!! Tena mingine mizee kabisa?!!!😳😳😳

Huyu mama hapana aisee!!
Kwa mikosi au
 
Kwa mikosi au
Hapana, ni kwa maujanja ya kuwahenyesha manyumbu kinomanoma......si unaona Sasa hivi minyumbu ilivyokosa hoja?!!🤣🤣🤣
Imegeuka kuwa zaidi ya mitahira. Kwa mfano, hivi hapa ndo imeanzishwa mada matata hapa yenyewe.
 
Furaha imetanda viunga vya , Dar es Salaam Nairobi, Harare , Lilongwe , Kampala, Mogadishu na Khartoum.

Jambazi na facilitator la silaha haramu za madili na watawala limeanguka.

Walio na furaha zaidi ni wakenya maana lilikuwa liko njiani kuwavurugia uchaguzi mkuu wa 2027
 
Hapana, ni kwa maujanja ya kuwahenyesha manyumbu kinomanoma......si unaona Sasa hivi minyumbu ilivyokosa hoja?!!🤣🤣🤣
Imegeuka kuwa zaidi ya mitahira. Kwa mfano, hivi hapa ndo imeanzishwa mada matata hapa yenyewe.
 
Nijuavyo ni kwamba lango la kuzimu linapofunguka na kumeza mwanafamilia huwa haliishii kwa huyo mmoja aliyetangulia, bali inafuata mlolongo wa kukamilisha ratiba ya next.... Kwenye familia marafiki na watu wa karibu. Hili fumbo nimelishuhudia mara kadhaa na hadi sasa linazidi kubainika. Nchi imekubwa na manunguniko mengi na ya wazi, cha kushangaza wale tuliowaamini kusimamia mambo yetu kama nchi wamejaa ujivuni kiburi na ukatiri uliopitiliza.... Tumuombe sana Mola atupe afya na uzima tukiyashuhudia haya yanayoendelea katika enzi hizi za utanzania. 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…