Machame girls yatoa TO matokeo ACSEE

Hatimae shule ya wasichana machame, baada ya kuingiza ingiza wanafunzi top ten miaka iliyopita hapo nyuma, hatimae Rasmi inefanikiwa kutoa Tanzania one matokeo KIDATO CHA SITA 2021

Pongezi kwa walimu,wanafunzi na wazazi kwa kunyesha jitihada.

View attachment 1849337
Mtoa mada, baada ya sisi wadau wa elimu kulilalamikia Baraza la Mitihani la Taifa kuhusu wanafunzi wa masomo ya sanaa kutengwa wakati wa matokeo, Baraza lilijiongeza kwa kuanza kutoa matokeo ya watahiniwa waliofanya vizuri katika masomo hayo.


Hivyo huyo Mtahiniwa wa Machame Girls ataitwa TO iwapo tu atakuwa amewashinda washindani wenzake wote! Wakiwemo wale wa masomo ya Sayansi na ambao miaka nenda ndiyo waliokuwa wakiingia 10 bora kitaifa.

Huyo Mtahiniwa ni TO wa masomo ya Sanaa! Na siyo TO wa jumla. Unless otherwise, utuwekee ile orodha ya 10 bora wa jumla.
 
Back
Top Bottom