Machalii wa arusha mgeni wenu huyo!

Machalii wa arusha mgeni wenu huyo!

Mamaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
5,298
Reaction score
4,863
Jombaa imekaaje jamaaa zangu. morani nimetinga arachuga leo,wenyeji nko wapi? niko hapa stendi wakulima bar nabung'aa bung'aa tu hapa!
 
nielekezeni wapi nitapata cheap guest maana hizi za mjini siziwezi.
 
wadau kimyaaaa! au mnataka nikabwe hapa stendi.?
 
Hivi Wakulima Bar bado inapiga mzigo....!!!
 
Ukitaka kwenda chugga toa taarifa kabla.
Chugga wakarimu sana ila wewe watakuwa wanakushangaa!! Hujapiga hodi ushafika high table! Kuna haja ya kukukaribisha tena hapo?

Jisevie mwanawane, ila unabahati niko nje ya huko kwa muda.

Kudaadake!!
 
hahaa!
makao mapya
ndio zipo karibu
na ofisi za dar expres na mtei
hatopata shida siku ya kuondoka ni
toyo ya buku tu!

 
Back
Top Bottom