Machali, Arfi kugombea ubunge kwa ACT-Wazalendo

Du! tutaona mengi mwaka huu,yaani kiongozi mkuu wa ACT akikukubali maana yake
unapita bila kupingwa? Vipi wapambanaji waliojipambanua mapema kwamba wao ni
act bila kujali aibu wala kashfa kutoka kwa washirika wao wa zamani, na nafasi zao walizoacha kwenye vyama vyao
sasa unafika wakati wa kuingia mjengoni,wanaletwa mamluki moja kwa moja kugombea vyeo.
Hao walioogopa kumwaga unga wao wanaingizwa na walioacha unga wao mapema wanaachwa.
Kweli hii ni ACT(maigizo).
 
Machali alishaweka wazi hili hili....kwamba Zitto asijifanye yeye ndie tu anaeweza kuwapeleka Bungeni!! Sidhani kama atakuwa mjinga kiasi hiki!!
 
Siasa mchezo mchafu,,na sio hao tu,wapo kibao wajameni,cdm wasipoangalia dogo atakibomo chama hawataamini.ndo maana viongozi wote wa cdm wa ngazi za juu wapo site kuhakikisha wanachunga kondoo wao vema

chadema Ni taasisi & it can stand on its own
 
Nacho taka kujua influence ya zzt Kigoma ikoje?

Pili jimboni kwake amekaa miaka kumi katika iyo miaka kumi amefanikiwa kupata madiwani wangap? I mean mayor wa jimboni kwake ni toka chama cha upinzani?
 
attachment.php
 

Attachments

  • Machali.jpg
    Machali.jpg
    99.6 KB · Views: 311
  • Machali1.jpg
    Machali1.jpg
    141.5 KB · Views: 924
ACT hakuna demokrasia.

Zitto akiamka na kutamka chochote kinakuwa.

Yaani wagombea ubunge kwa tiketi ya chama anawataja kabla ya kikao chochote!! Halafu huyu anasema alikotoka hakuna demokrasia. Huu ni ulaghai mtupu.
 
Machali kahojiwa asubuhi kwenye powerbreakfast na kakanusha hiyo habari.

Nimechangia mara nyingi sana mabandiko yanayowahusu Mwabunge wa mkoa wa Kigoma haswa hawa wa Nccr mageuzi.Mara zote nimeeleza kuridhishwa sana na uwezo na weledi mkubwa wa wabunge hawa. Sio siri siwezi kubeza uwezo mkubwa alio nao Zito na Walid Kaborou kama wasingekuwa na uroho na unafiki.

Kwangu namkubali sana hata Serukamba kwa uwezo,weledi na ushawiahi alio nao pamoja na kwamba maviatu aliyovaa hayampendezi ila haki yake lazima apewe.

Nakubali sana kiongozi mzuri hujengwa na kupata umaarufu kwenye chama alimo. Nje ya hapo anaweza asiwe chochote pamoja na kwamba sifa bado atakuwa nazo. Mifano ipo hapo hapo Kigoma penyewe.

Pia sikatai wenzetu toka mkoa huo huwezi kuuelewa undani wao sana kwani sio wawazi sana. Mnaweza kukubaliana jambo akabadilika ghafla tena bila kukutaarifu.Hio haijalishi ni msomi au mtu wa kawaida tu. Tuao mtaani lakini hawaaminiki sana na hawana misimamo yao kama wao.

Utamtegemea Machali kakanusha lakini ikifika wakati akabadilika tena.Mimi kwa nia ile ile njema bado nawashauri wasilogwe kuhama vyama wakati huu wakidhani ni rahisi kuchaguliwa kwa mazoea tu tunafahamika.

Unaweza kuwa mwisho wao kisiasa na jimbo kutwaliwa na ccm kirahisi.Wanaweza kuaminishwa ccm ni chama babana mama kwa Act yetu tutapewa nafasi za upendeleo. Kwa taarifa yao hata huko orodha ni ndefu sana na imebana.
 
Alisema wabunge 50 leo wameshuka wamebaki2 haaahahaaaa hiii ndio chadema bana usiulize kubwa wa samaki uliza bei
 
Sasa Zitto kawa kama Mrema aisee! huyu dogo anajidhalilisha sana .....
 
Kijana anapenda kujiboast huyu hajui maisha ni upepo mtupu
 
Back
Top Bottom