Wakati akichangia kwenye bajeti ya serikali Machali alimuona naibu waziri wa fedha mama Mbena akimunyoshea kidole cha kumsonya hapo hapo Machali akawaka akamwambia waziri uwe na adabu acha kuninyoshea kidole.
Mhagama akamwambia Machali eti anaropoka akae kimya azungumze na kiti.
Machali hakupenda hiyo kauli akamwambia M/kiti kwamba na yy aache kuropoka Machali akaghairi kuendelea kuchangia akakaa chini.
Jamaa kampa hapo hapo kasema hata ww unaropoka alipoombwa aendelee kuongea akasema hataki akakaa maana ameona N/waziri kamdharau sana kumsonya kwa kumnyoshea kidole.
Wabunge wanawake wenye dhamana nadhani imefika wakati wajifunze kutofautisha hisia na majukumu...
Na aliyewapa kiburi hiki ni Spika wa Bunge kwa kuwa ndiye amekuwa kinara wa kutoa lugha za kukaripia...
Bunge huendeshwa na kanuni na kama kuna mbunge kakiuka kanuni, basi huadhibiwa accordingly....
Jamaa kampa hapo hapo kasema hata ww unaropoka alipoombwa aendelee kuongea akasema hataki akakaa maana ameona N/waziri kamdharau sana kumsonya kwa kumnyoshea kidole. Sijui hawa mawaziri kiburi hiki wanakipata wapi.
Safi kamanda Machari tena wakizingua unawarushia na ngumi, wajinga sana hao wamama, wanaleta masihara, anakunyoshea kidore ungewanyoshea cha kati, wapuuz
Hawa wabunge hasa wa CCM wanadharau sana. Utadhani CCM ndo mbinguni. Kweli zama zao zimewadia. Na ubunge wao wa kupewa. Basi wanajiona wao ndo wana akili kushinda watu wote.