Machali apandishiana na M/kiti kikao cha bunge mh Jenista Mhagama

Status
Not open for further replies.
Updates

Hatimae Mh. Machali ameomba muongozo na kuomba maneno aliyatumia yafutwe na pia Mwenye Kiti wa Bunge, Mh. Jenister Mhagama kamsifu sana sana sana kwa uzalendo aliouonyesha! Na kwa kwenda mbali zaidi Mhagama kasema kila Mmbunge ajipime na kuangalia kama anaweza kufuta kauli mbaya alizotumia Bungeni. Pia kasema, kauli au matendo ya kuonyesha dharau au kejeli kwa Mbunge mwingine au Waziri si vitendo vya uungwana!

Swali
Je Janeth Mbene anaweza kweli kufuta/kuomba msamaha kwa kitendo alichofanya???
 
Machali kaniumiza sana eti kwenye kikao cha jioni ameomba msamaha kwa yaliyotokea asbh bila hata kulazimishwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom