Machali apandishiana na M/kiti kikao cha bunge mh Jenista Mhagama

Status
Not open for further replies.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Wakati akichangia kwenye bajeti ya serikali Machali alimuona naibu waziri wa fedha mama Mbena akimunyoshea kidole cha kumsonya hapo hapo Machali akawaka akamwambia waziri uwe na adabu acha kuninyoshea kidole.
Mhagama akamwambia Machali eti anaropoka akae kimya azungumze na kiti.
Machali hakupenda hiyo kauli akamwambia M/kiti kwamba na yy aache kuropoka Machali akaghairi kuendelea kuchangia akakaa chini.
 
watu wamechoka kuonewa, majibu ni papo kwa papo.!

Jamaa kampa hapo hapo kasema hata ww unaropoka alipoombwa aendelee kuongea akasema hataki akakaa maana ameona N/waziri kamdharau sana kumsonya kwa kumnyoshea kidole.
 
Wabunge wanawake wenye dhamana nadhani imefika wakati wajifunze kutofautisha hisia na majukumu...
Na aliyewapa kiburi hiki ni Spika wa Bunge kwa kuwa ndiye amekuwa kinara wa kutoa lugha za kukaripia...
Bunge huendeshwa na kanuni na kama kuna mbunge kakiuka kanuni, basi huadhibiwa accordingly....
 
watu wamechoka kuonewa, majibu ni papo kwa papo.!

Jamaa kampa hapo hapo kasema hata ww unaropoka alipoombwa aendelee kuongea akasema hataki akakaa maana ameona N/waziri kamdharau sana kumsonya kwa kumnyoshea kidole. Sijui hawa mawaziri kiburi hiki wanakipata wapi.
 
Safi sana machali kwa kumwambie mwenyekiti aache kuropoka ila tendwa kweli anaweza kufuta ccm? maana mwigulu amehusika kwenye bomu la arusha.
 
Safi kamanda Machari tena wakizingua unawarushia na ngumi, wajinga sana hao wamama, wanaleta masihara, anakunyoshea kidore ungewanyoshea cha kati, wapuuz
 
Huyu mama ana sura ya kichangu sana. Afadhali kama Machali kamshikisha adabu. Pambaf.
 
Tusi halijibiwa kwa tusi angetumia utaratibu pengine angesikilizwa

Angesikilizwa na nani mkuu, wakati mara nyingi wabunge wakiomba mwaongozo wanakataliwa.

Machali ni binadamu tena mwanaume, hakuna kitu kinachouma kama kudharauliwa na kusonywa na mwanamke eti kisa amekuzidi cheo.!

Vile unavyotaka uheshimiwe wewe na mwenzio mheshimu hivyohivyo, ukileta dharau unajibiwa kwa dharau.!!!
 
Hawa wabunge hasa wa CCM wanadharau sana. Utadhani CCM ndo mbinguni. Kweli zama zao zimewadia. Na ubunge wao wa kupewa. Basi wanajiona wao ndo wana akili kushinda watu wote.
 
Washikishe adabu hao.......
Utamwambiaje mtu karopoka?Kama na ww huropoki maana utaratibu na kanun zipo zakumuwajibisha mtu.
 
Tangu jana Bunge limejaa wauza gahawa tu, wabunge wako Msibani bhana......wacha wauziane chai tu
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom