Wa kusoma
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,454
- 2,975
Wakati akichangia kwenye bajeti ya serikali Machali alimuona naibu waziri wa fedha mama Mbena akimunyoshea kidole cha kumsonya hapo hapo Machali akawaka akamwambia waziri uwe na adabu acha kuninyoshea kidole.
Mhagama akamwambia Machali eti anaropoka akae kimya azungumze na kiti.
Machali hakupenda hiyo kauli akamwambia M/kiti kwamba na yy aache kuropoka Machali akaghairi kuendelea kuchangia akakaa chini.
Mhagama akamwambia Machali eti anaropoka akae kimya azungumze na kiti.
Machali hakupenda hiyo kauli akamwambia M/kiti kwamba na yy aache kuropoka Machali akaghairi kuendelea kuchangia akakaa chini.