Pamoja na ukweli ambao yawezekana ukawepo ndani ya hili, hapa naomba nitofautiane na wewe mkuu, hapa tatizo ni wa afrika wenyewe, hususani huyu rais Nkurunzinza maana bila ya yy kuvunja katiba na kutangaza kuwania urais kwa awamu ya tatu sidhani kama haya yangelitokea, wafrika tuna matatizo ya ndani ambayo tusipoyarekebisha ss wenyewe tutaendelea bakia hapa tulipo au tutarudi nyuma zaidi ya hapa, ubaya zaidi wazungu wamegundua udhaifu huo tangu na wanaendelea kuutumia kutuumiza mpaka keshoWafaransa ni watu Fitna kuliko watu wote Duniani. Ni mabingwa wa kupandikiza chuki, undumi la kuwili na mambo kama hayo. Nchi zote zilizotawaliwa na wafaransa/wabelgiji mpaka leo hii hazikaliki.
Kampuni inayojishughulisha na ujenzi ya Sogea Satom Ilikwisha pigwa marufuku Rwanda sababu ya kuhusika na uingizaji wa silaha kinyemela.
Kampuni hii ina miradi kadha wa kadha nchini Burundi na moja ya mambo ambayo huyafanya ki chini chini ni pamoja na hili la kuwachanganya warundi kupandikiza chuki na hila kuanzia wafanyakazi wa kampuni na raia mitaani.
Hii ina maana kwamba tayari kuna mzigo wa silaha wana uhakika kufanya biashara.
Hatari ni kwamba kampuni hii pia iko Tanzania na ndiyo iliyojenga barabara ya Songea mpaka Namtumbo.
Kwa sasa hapana shaka iko Arusha maeneo ya Nanja na ofisi zao zipo karibu na kiwanda cha coca cola Kwanza Dar es salaam.
Ni Kampuni hatari.
Wafaransa ndo wanaotaka kuwania term ya 3
....Senegalese opposition leader blames France over Ivorian crisis .... in the current mediation efforts intended to help Cote d'Ivoire get out of its political crisis. .... group Vinci has denied allegations that its branch Sogea Satom used corrupt...... .Uongo,itakuwa ni nyie niliwaona mukitimuliwa kwenye geti la sogea satom mulipokuwa mukiomba ajira,usichukie mkuu,jaribu sehemu nyingine badala ya kuwachafua watu
​Ha ha ha haaaa,suala la burundi tena linaonekana kabisa tatizo ni nini mtu anawataja wafaransa,tena wajenga barabara,jamani jamani jamani,aaaahMiafrika bwana shida tupu, sijui hao wafaransa ndio wamebadili katiba?
Ni mpumbavu tu ndio anaweza kuamini ujinga huu,
Duh hiyo hatari sana