Machache usiyoyajua kuhusu Zanzibar.

Machache usiyoyajua kuhusu Zanzibar.

Wapi pazuri kutembelea ambapo hata ukikaa wiki hivi huboeki?

Wapi totoz za Znz zapatikana?

Hotel je?
watoto wa kizanzibar hawana chimbo maalum labda uingie kitaa, ila totoz za huku bara zilizovamia zenj karibu hotel zote zilizopembezoni mwa bahari utawakuta tele. Hotel yakujidai iliyobora kabisa fika mtoni marine,hotel verde thamani ya pesa yako!!
 
watoto wa kizanzibar hawana chimbo maalum labda uingie kitaa, ila totoz za huku bara zilizovamia zenj karibu hotel zote zilizopembezoni mwa bahari utawakuta tele. Hotel yakujidai iliyobora kabisa fika mtoni marine,hotel verde thamani ya pesa yako!!
We jamaa kichekesho kweli, Verde karibia 500K kwa usiku.
Mi nataka hizi za kawaida 20-60
 
Hakuna bomba kuna mfereji wa wima [emoji38][emoji38][emoji38]
Mfereji wa wima ni jina la mtaa mzima ingawaje na hilo bomba lipo, ni refu kiasi kwamba kwa watoto si rahisi kufungulia maji.
 
We jamaa kichekesho kweli, Verde karibia 500K kwa usiku.
Mi nataka hizi za kawaida 20-60
Alaa kumbe bado upo uchumi wa kati mkuu!!hata hizo za kiwango chako ziko nyingi si haba, ukishuka tu bandarini ulizia hotel hizi zipo mji mkongwe, Dau hotel,Tembo hotel,Afrika sana na nyingine nyingi zipo pembezoni mwa bandari bei yake ya kawaida sana. Ama kama unataka kuchungulia wakaa uchi toka nje ya mji, kiwengwa, pwani mchangani,paje,jambiani,nungwi nk huko ndiko Wazungu na madada poa wanajimwaga kama soko la gulio, ni chupi bikini tu kwa wadada, viboksa na kifua wazi kwa wanaume,kuna michezo ya kila aina kiingilio bure.
 
Hakuna magereza-kuna vyuo vya mafunzo
Hakuna JKT-kuna JKU
 
Ukitaka uinjoi zenji fikia shamba, utafaidi matunda ya kila aina ni bure ghalama yako ni kuomba tu. Mashoki shoki na machenza nimeyabugia sana.

Siku moja nilitaka kununua karanga za kutafuna zilizokaangwa muuzaji akaniambia naunza njugu kwa shingi miatano.. kusikia njugu nikajua ni njugu mawe za huku baadae nilijua njugu ndio karanga kwa kule.
Koleo ni Paulo..
Kukaa wanaita kukaa kitako

Ila Utamu wa zenji upo paje, Makunduchi, Kizimkazi na Jambiani. Ukitaka kucheka sikiliza kiswahili cha Matemwe na Jambiani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Vile vile kwenye shule zao kama za huko bala za kata,watoto wote wanalazimishwa kusoma masomo ya dini ya Kiislam hata kama ni wakristo,mambo ya dini na mambo ya Serikali na utawala yanachanganywa,fikiria unaenda kuomba kibali Cha kujenga kanisa kwa sheha ambaye pia Ni kiongozi wa dini.

acha kuropokwa uwongo mkuu
 
Hakuna Big G kuna ubani, hakuna nyama kuku wa kisasa kuna peduu, kwenye daladala hakuna kushusha kuna kuweka, hakuna kukata kona kuna kupinda, hakuna mzunguko kuna duara,

Mkuu ubani ndio jina sahihi, Big G ni kabila tu la ubani ambalo lilikuepo zamani.
 
Hakuna aibu mbaya kama kujiona wewe ndio unaelewa kitu vizuri ila kumbe wewe ndio huelewi.

Zanzibar Mjini ndio sehemu kinapozungumwa kiswahili safi kuliko sehemu nyengine yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom