Machache tukumbushane wana MMU

Relationship nyingine zina nafsi nne, mimi, wewe, sisi na ndugu zangu, hapo ni shida wakati mmoja wenu anashindwa kuelewe kuwa yuko kwenye mahusiano.
Hapo kwa ndugu ndio kwenye shida sana. Nahisi mawifi wapewe nafsi yao maana mh.......
 
Hapo kwa ndugu ndio kwenye shida sana. Nahisi mawifi wapewe nafsi yao maana mh.......
ha haha wale watu mnawapa airtime sana .. mimi naonekana na maringo ila sibadili gia ,, sitaki mtu anizoee hasa kama uniingizii pesa kaa mbali nami sikuchokozi usinichokoze
 
Ubarikiwe miss chagga ila hapo kipengele cha mwisho nimecheka kwa sauti
 
Sijaisoma Ila hii mada haikosi segment ya HELA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…