kadovela
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 471
- 679
ukifuatilia vema kwa uelewa upitao akili ya kawaida, dhambi ya kwanza kufanyika duniani ni uasherati. hata katika kitabu kitakatifu uzinzi/uasherati ndio dhambi iliyotajwa mara nyingi. uzinzi, uasherati ndio dhambi iliyopelekea maafa wakati wa nuhu na sodoma/gomora. wengi wetu hatuenendi katika utakatifu ndio maana porno industry ina wadau wengi duniani kote yaani ni 8% ya binadamu duniani kote ndio hawafuatilii the rest tunapishana kubobea katika hii kitu na janga zito liko njiani linakuja yaani dhambi ina mapato mengi kuliko matendo ya haki. eti una bundle lakutosha halafu upo idle tu na stress za maisha lazima ugoogle porno baada ya hapo either punyeto, malaya. na wameweka categories kucover walio single, wenye wapenzi, wasagaji nk.wengi kuliko maelezo