MacDonald's Fast Food Restaurant in Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MacDonald's Fast Food Restaurant in Dar

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by VUVUZELA, Feb 1, 2011.

 1. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha. Tumeshakamilisha taratibu zote za kufungua franchise ya MacDonald including attending mandatory MacDonald (burger) university course, na imebaki kuja hapo Dar kufanya utafiti wa strategic sites then hawa jamaa wa corporate office watakuja kuikagua na kufinalize the deal.
  Je mna maoni gani kuhusu ufunguzi wa MacDonald hapo mjini? Italipa?
   
 2. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,769
  Likes Received: 2,022
  Trophy Points: 280
  Da!aisee iyo ilikua idea yangu yani kitambo nilikua nasubiria nimalize masters yangu then nijushugulikie!hahaha!neways wishing u all the best!brilliant!good good!
   
 3. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Italipa!!!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Inategemea na bei zenu na mahali pa biashara..fast food nzuri nadhani itawatoa. Cha msingi ni kuwa na customer care nzuri na quality control bomba.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu ...junk food is not a fovourite food in TZ kutokana na uhalisia wa nchi yenyewe.... hivyo kuna specific market/customer segment ambayo watakula mac donald

  pili...sasa hivi kuna mashrooming ya vending ya burger huts na bei ni poa sana..competitor

  tatu ...wagosi (wasambaa) wanatengeneza chipsi na chachandu nzuri sana ...competitor

  dar kuna foleni kubwa sana hasa wakati wa asubuhi, mchana na jioni ..peak time kwa hiyo eneo utakalopata kama ni city center pia hili ni tatizo kwani mteja itamuia vigumu kutoka oysterbay kuja kununua macdonald burger city center wakati atatumia 2hrs

  lazima uwe strategic kwenye market segment..... hence strategic market area to best fit the target market
   
 6. C

  Chesty JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,348
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Sina tatizo sana na Dar kwa sababu watu wameanza kuwa na culture ya kula junk food .Hata mimi nimekuwa nikitamani sana taste ya Mc Donalds cos mara ya mwisho kula ni 2004 in the UK.

  Kwa Arusha nadhani utapata challenge kidogo. Steers walishindwa kufanya biashara wakafunga. Watu wanapenda sana nyama choma. Wanapenda wakae sehemu wanywe pombe na wale nyama.

  Cha kufanya jaribu kuestablish ni kwa nini Steers walishindwa kufanya business ili uweze kudevise alternative strategy ya ku recapture hiyo market.

  Lakini nakuhakikishia Nando's would be the best kwa sababu wale ni waportuguese wana taste kama za kiafrika. Kuku anachomwa na peri peri na kwa hakika it will be a massive business kwa Tanzania.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,315
  Likes Received: 19,467
  Trophy Points: 280
  Umeiba idea yangu
  BUT KILA LA KHERI NDUGU NITAKUTAFUTA NIKIMALIZA PHD YANGU
   
 8. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hao nandoz wenyewe walifungua branch pale jm mall mwishowe wakafunga,ttz ya kufungua franchise ni u hv to pay a fee kwa brand owner wich z high n inturn ur food inakua xpensive watu hawanunui,mfn burger ya moroko kituo cha mafuta ni 4000 ila ni bonge la baga kubwa kishenz,ya steers ni 4500 nazan ila ni kadogo kma chapati nani anataka huo ujinga?
  Kaka ckuvunji moyo ila soma mrkt vzr me naona kheri kuanzisha brand yako mwenyewe kuliko franchise kuepuka mambo ya fee
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  vipi kuhusu ndoa za watu?
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Point ya franchise inaeza kuwa na kaukweli kaka.
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu nakubaliana na wewe.... business model ipo very limited in terms of pricing.... advantage ya franchise ni kutumia jina au brand ambayo imesha win market...... lakini ninaamini..... mtoa mada akiwa creative on the same industry ya food ... can come up with a very successful business.....

  embark on the same business principles wanazotumia macdonald halafu kuwa creative on products zako...chakachua recipes na utapata burger nzuri sana as a local brand.... bei itakua nzuri na utakua na volume sales

  @madcheda ile burger pale moroko imetulia.... moja tu na coke unashiba and very tasty
   
 12. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  italipa mkuu, ila bei inabidi ziwe down, ila kama mna mtaji wa kutosha kwa nini msianzishe hiyo franchise na brand name yenu na kiasi mkiwa mnauza product za kitanzania kuliko hizo JUNK FOOD za hao wazungu ili mtupunguzie magonjwa ya tabia kam wanayougua wazungu huko mlipo kutokana na mavyakula ya namna hiyo? mi naamini mkiwa na nia ya kuanzisha restaurant yenu kwa kuzingatia mila na desturi za Tanzania mtafanikiwa sana.
   
 13. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu, mada yako nzuri ila nakushauri uipeleke kule kwenye jukwaa la Biashara na Uchumi kuna wataalam zaidi watakokupa mawaidha na ushauiri zaidi ya sisi hapa.

  Hapa siasa imetukaa sana vichwani...:A S 20:
   
 14. C

  Chesty JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 2,348
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Kaka Nando's kama Nando's hawajawahi kuoperate TZ, ile uliyoiona Samora avenue ni jina tu wala sio Franchise ya Nando's. Na formular yao ni tofauti kabisa.

  Nando's wenyewe wakija bongo lazima mzime sigara!
   
 15. L

  LAT JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu...mwenyewe ninaikubali Nando's ...very famous in South Africa..... bei ndizo zinazofanya biashara zinashindwa na sio quality ya chakula... Barcelos ni famous restaurant chain in south africa kupitia Engen ambao pia wanatumia portugeese recipes (garlic kwa sana) .... walifungua outlet zao hapa bongo lakini wamechemsha na wamefunga
   
 16. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ni kweli mkuu, wakija 'Nandos' au hata 'Galitos' itabidi kwanza Mangi wote wachoma nyama warudi nyumbani wakaongeze kaujuzi kidogo...ili wapambane vizuri na ushindani.

  Kuku anatengenezwa na pilipili na kachumvi vinakaa haswaaa..
   
 17. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  hakuna biashara isyolipa... kumbuka dar haizalishi chakula chake...inapokea na kutumia tu... GO AHEAD TZ Mc Donald:coffee:
   
 18. g

  geophysics JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera sana ndugu yangu... Wazo lako ni zuri lakini....... Lazima ufanye mkakati wa nguvu maana wabongo hatuaminiki....
  Mkakati mahususi wa kuongeza faida katika mradi huu nashauri uwe na njia mbadala ya kuwafikia wateja wasiopenda kukimbia kimbia hasa wakati wa kula, ambayo kwa MacDonalds za marekani hawafanyi...Ukishinda hili utakuwa umeshinda vita.....
   
 19. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kama makande yatakuwepo tutakuja sana
   
Loading...