Macca

Macca

Status
Not open for further replies.
Nimesha wakariri woote mnaotamani kwenda huko, sasa kabla ya kwenda huko inabidi muanze kujisafisha taratiibu kwa kutenda mazuri, sasa ole wenu mpost upuuzi au mshabikie ngono huku mkimsingizia shetani kwa matendo yenu ya hovyo.
 
3f44aa57aa092ced7fb9b873bef773f5.jpg
Nani amekwambia
Hapo ndo center ya Dunia
 
Ni sehemu ambayo hukusanya idadi kubwa ya watu wote ulimwenguni kila taifa hufika mahali hapo,mungu nijalie niwe miongoni nifike hapo.
Nini faida yake katika maisha yako
 
Mkuu SI, nikujuze ili tuwe na uhakika wakuridhika nje ya uwezo, bila kubishana....
Images for kaaba center of earthView attachment 334676
View attachment 334677
View attachment 334679
View attachment 334678
More images for kaaba center of earth
New studies show al-Kaaba as the center of the world
english.alarabiya.net › Web TV
Jul 23, 2012 - New scientific studies proved that al-Kaaba is the center of the world because its four corners point exactly towards the four cardinal directions of the compass, therefore, every corner is called after the direction it points to. ... The Eastern corner carried different names but ...
Kinyungu
Abastian
Jimbo
The Elephant Hapo Jinsia zote na mataifa yote yanaruhusiwa kushiriki ibada na kuzunguka anticlockwise mara 7 !! (madamu umetahiriwa na kumkubali mungu ni mmoja)
Mambo ya madhehebu fulani/juu ya madehehebu fulani hapo hayana nafasi/mshiko!!

karibuni sana

Upuuuzi big time...kwa macho tu sio centre...center if the world should be somewhere is Africa,waarabu wanadanganya kabisa,tena sana...eti new study,new study my @$$....

Mtaendelea kudanganywa na ujinga wa dini kua sehemu fulani za dunia ni takatifu zaidi ya zingine wakati alieziumba ni mungu yule yule asie na makosa,huu ni upuuzi kuaminishwa ujinga huu..

Anaekaa Rombo anakaa sehemu iliyolaaniwa zaidi ya yule anaekaa Mecca,wakati sehemu zote hizi kaziumba mungu huyo huyo?Ridiculous kabisa
 
Pole sana na unavotumia jazba mwenyewe unajikuta unachanganya kauli zako, anyway ukweli hauko hivo hayo unayoyasema ni maneno yakwako utabaki nayo peke yako hakuna atakaekusadiki coz hayana mpangilio wala ushahidi wa wazi. Na kinachonisikitisha zaidi sidhani kama bible inakufundisha kusema uongo
 
Mkuu SI, nikujuze ili tuwe na uhakika wakuridhika nje ya uwezo, bila kubishana....
Images for kaaba center of earthView attachment 334676
View attachment 334677
View attachment 334679
View attachment 334678
More images for kaaba center of earth
New studies show al-Kaaba as the center of the world
english.alarabiya.net › Web TV
Jul 23, 2012 - New scientific studies proved that al-Kaaba is the center of the world because its four corners point exactly towards the four cardinal directions of the compass, therefore, every corner is called after the direction it points to. ... The Eastern corner carried different names but ...
Kinyungu
Abastian
Jimbo
The Elephant Hapo Jinsia zote na mataifa yote yanaruhusiwa kushiriki ibada na kuzunguka anticlockwise mara 7 !! (madamu umetahiriwa na kumkubali mungu ni mmoja)
Mambo ya madhehebu fulani/juu ya madehehebu fulani hapo hayana nafasi/mshiko!!

karibuni sana
Ivi kwa mfano kukishakua katikati ya dunia,then what?? Unapata faida gani??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Hivi waislam wangekuw wanaua kw jinc mlivyoaminisha na wazungu dunian kuna waislam bilions kwa akili yng ambayo c ya kuazimwa km zako dunia ingesahaulika sshv.tatizo letu waswahil wengi mzungu akiongea mnaona km kaongea mungu vile.hao wazungu walipiga atomic japan sio ugaid huo kumwaga dam huko iraq na palestina bado akiongea mnashabikia kw kutojielewa ndo mana mmeletew ushoga ndo mnaoutaka.bado hamjajua true color ya hawa jamaa sbb ya uvivu w kufkir na kujua dunia ikoje na inaenda vipi


Haujafanya homework yako vizuri, ni ujinga kuamini ushoga uliletwa na wazungu. Upo katika kila jamii kwa muda mrefu hata kabla ya ujio wa wazungu. Hivi Mungu alivyoiangamiza Sodoma na Gomora kwa ajili hiyohiyo nao walikuwa wazungu?
 
Mkuu SI, nikujuze ili tuwe na uhakika wakuridhika nje ya uwezo, bila kubishana....
Images for kaaba center of earthView attachment 334676
View attachment 334677
View attachment 334679
View attachment 334678
More images for kaaba center of earth
New studies show al-Kaaba as the center of the world
english.alarabiya.net › Web TV
Jul 23, 2012 - New scientific studies proved that al-Kaaba is the center of the world because its four corners point exactly towards the four cardinal directions of the compass, therefore, every corner is called after the direction it points to. ... The Eastern corner carried different names but ...
Kinyungu
Abastian
Jimbo
The Elephant Hapo Jinsia zote na mataifa yote yanaruhusiwa kushiriki ibada na kuzunguka anticlockwise mara 7 !! (madamu umetahiriwa na kumkubali mungu ni mmoja)
Mambo ya madhehebu fulani/juu ya madehehebu fulani hapo hayana nafasi/mshiko!!

karibuni sana
Asante sana kwa somo zuri kwa wasio bahatika kuwa waislam.
 
Allah akusamehe na akujaalie neema ya uislamu kabla muda wako wa kuishi duniani haujaisha,acha ushabiki na kusema mambo usiyoyajua, uislamu haupo kama unavyoufikiria wewe
Jibu murua kabisa...asipokuelewa ndo basi tena
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom