Mpendwa Hew!! hapa hatushindanii Location !! Pia huajelewa subject.. ila tutakufahamisha zaidi.Ivi kwa mfano kukishakua katikati ya dunia,then what?? Unapata faida gani??
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Mpendwa City Owl... Kumbe wewe wafuata mkumbo na matukio!! au wafuata IMANI na elimu iliypo akilini... Mkuu wewe ndiyo judge (hakimu ) wa maamuzi yako... READ !!!Mwaka Jana kidogo niwe muislamu.. ile ishu Ya Garissa ikanichefua kabisaa...innocent young people Were killed in some 'reptile blood'...shit
Mkuu, Ndg. Abiko Kama utakuwa na wasaa nina weza kupa Jibu la kuridhisha na ukaona haki juu faida uitakayo Believe me!! your choice.Nini faida yake katika maisha yako
Please be kind to learn/know..Huyo jiwe kati si nasikia ni shetani mnampiga mawe, sasa kwa nini mnamuweka shetani mahali patakatifu!? Ni swali tu nataka kujua.