Naombeni usaidizi,
Resently nimeistall windows 7 from a usb stick kwenye mac book air yangu. Sasa wakati wakuinstall nimeistall ila ilipofikia kurestart ili kuendelea na installation ikashindwa kuendelea. Inadisplay alama ya ? ikiblink. What do i do? Nisaidieni tafadhali mwenye idea
Thanks.