Mabwepande retreat

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,975
Wadau,baada ya kufikiri saaana,sehemu gani ya kwenda kupumzika mimi na marafiki zangu kadhaa weekend hii,tumeamua twende Mabwepande msituni.Any one want to join us is invited.Hope will be a nice retreat ever!
 
Rest In Peace wapendwa!
Hope mtaenjoy mapumziko yenu
 
Thanks Erickb52,hatuna bifu na mtu bana.
 
mh,huko nadhan kutakuwa na kisusio cha damu ya binadamu tu!
 
Akirudi Dr Uli huko alikopekekwa,ndio ntawajoin!
 
Thanks Erickb52,hatuna bifu na mtu bana.

Hahaha mayenga kwani dr Uli alijua?
Huko mnaweza kukutana na jamaa wako kwenye shughuli zao wakahisi mmeenda kuwachora....hawatawaacha aisee lazma wawadili papendikyula
 
Last edited by a moderator:
Wauaji wenyewe kwa sasa ni waoga hawakanyagi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…